JIFUNZE KWA WALIOFANIKIWA.

john7

Lister
Tunapenda kumfikiria Mungu kama muumba, jambo ambalo ni zuri lakini upo wakati ambapo tunapaswa tumwone Mungu kama *MFANYAKAZI-MWENZA* . Tutazame jinsi alivyofanya kazi yake kwa muda wa wiki moja tu akamaliza mambo yake yote bila dosari yoyote, kazi ambayo mpaka sasa imedumu.Ili na sisi tuige kwake.

Ubovu wa mipango yetu, malengo yetu, unachangiwa na uvivu wetu wa kuiga kwa waliofanikiwa.

Na hakuna aliyefanikiwa zaidi ya Mungu.

Ili Kufahamu kwa kina ratiba ya wiki ya Mungu jinsi ilivyokuwa..Basi Fungua hapa👇🏾👇🏾👇🏾

*https://wingulamashahidi.org/2021/10/14/iige-ratiba-ya-mungu-ya-wiki-ikusaidie/*
 
Top