Arapmatyaa kingen on the swap
New Lister
Suala la iwapo sheria kuhusu kura ya maamuzi inafaa kuwa na maswali kadhaa lilishamiri mwanzo wa mjadala wa kuundwa kwa sheria hiyo katika bunge la kitaifa. Suala hilo liliibua mgawinyiko miongoni mwa wabunge wa Tangatanga na wale wa Handshake
Attachments
-
120.3 KB Views: 78