That made me laugh given the cheap suit and funny shoes.And mocking people who earn 30K... akajua wengine wetu pahali tulianzia weh
The brave brigade, kuna watsapp group flani iko mtu alileta hii ukora nika jaribu kuambia members ni scam wacha niitwe haterMass meeting wakati wa korona? Darwin already at work....
I always say,there's no day mtu ataamka alafu aanze kupea watu doo ati juu umeinvest.Nefa.Hii nayo ilianza when ndo tujue vile mwosho itakuja.Few weeks ago kuna ingine ilitokea inaitwa HQT ilikuwa ya investment, watu wakainvest mbiombio,one night ikapotelea na doo za watu, watu waliamka kama hiyo website haipatikani tena.Kuna jamaa alisema aliinvite mamake akainvest 30k doo sikaenda hivo.