Church walikuwa wanatupaka mafuta kwa ngongo last week wakisema no "Bolitics kwa Bulpit" watu washa rudi default setting after kuonyeshwa ma$$$. Izi vibanda zifungwe
Hapo kwa NHIF iko shida where are the remittance going to ndio tuambiwe iyo watu hawaezi meet obligations. DAMN