In the headlines

Clemens

Elder Lister
Unafikiria braveness hutoka kwa kula chips na pizza?
Hizo ndio nini? Where I am they're available a 100kilometers away, Kula ugali ya kisiagi hapana hiyo vumbi imepakiwa Kwa packet.
Wewe ni kama hujui greatness ni nini.
Sembe ya kisiagi jana night na mara ya mbuzi with guacamole on the side imefanya nikakuwa na usingizi tamu saidi
Sikatai, but all in all ugali is a poor man's food.
 
Ngimanene na Muchere

Elder Lister
Hizo ndio nini? Where I am they're available a 100kilometers away, Kula ugali ya kisiagi hapana hiyo vumbi imepakiwa Kwa packet.
Sikatai, but all in all ugali is a poor man's food.
Ugali is poor mans food? Sasa wewe unataka tukule chips na smokie na #richfood? Na unashindwa kwa nini corons inaogopa the brave?
 
Top