Adult(18+) If any of these ever happens to you, Jiondoe

Nairobi

New Lister
Nilipost picha ya dame ikangolewa...Admin bona huto hii pia?..why the double standards?.ama wengine ni wanawake nusu?
 

Nattydread

Elder Lister
Ukiona dem yako ameanza kua friendly na either of these;
makanga,
jamaa wa manicure na pedicure,
mrasta wa salon,
kipii ya photoshoot,
tattooist,
morio wa nduthi
boy wa movie,
jiheshimu tu uondokee na usiangalie nyuma.
Insecurity uligawiwa kwa wingi.
 

grandfeu

Lister
Mahindi saa hii ni silage na imeshaiva. Also, you had more than a week of sunshine. Ulikua unangoja barua?:ROFLMAO:
[/QUOTE kuna Jamaa ameniambia ati Kwa wanandi sister ya bibi ni bibi na ati akikuja kutembelea sister yake ambaye ameolewa wote huwa wanalala kitanda Moja nikakumbuka masaibu yako nikaona kuna kaukweli hapo
 

Ule Msee

Lister
Huyu dame mwenye hautaki awe friends na mtu wowote, utamfungia kama kuku? It's all in the character. Mtu faithful atatembea dunia na bado anabaki ni wako pekee. Kinyangarika wa kutembea utamfungia, na bado ako phone sexting na wateja.
 
Top