i remember it was a day like this when it happened

steve028

New Lister
Ukiwa mtoi ushawai tumwa mafuta ya taa ya 100 then uka decide kubuy mandazi ya 10 ili u buy mafuta ya 90,then unapata duka za mafuta zimefungwa ama mafuta ime die,hapo ndio unatafuta mafuta hadi kwa salon...
 
Top