HII ISIKUPITE

kitela5

New Lister
BOYS...
Sio kila mwanamke anahitaji pesa zako, sio kila
mwanamke anahitaji kukuchuna, sio kila mwanamke
anataka kukusaliti, naomba kukuambia kuwa
wanawake wengi huhitaji mda wako kwa ajili yao,
yaani mwanamke anataka kuona ukimjali kwa
kumpa sehemu ya muda wako, yaani siku moja
moja nenda kaa nae ajilaze kifuani mwako, akutanie
tanie na wewe umtanie tanie tu mradi uone
tabasamu lake basi ukifanya hayo mwanamke
atasahau kukuomba pesa na kukusaliti.
SAUTI INATOSHA ?
 
Top