Mike Sonko New Lister Feb 2, 2020 #1 wazito mnajua hii chuma ni pesa ngapi na kama inaeza nyoroshwa ikuje form?
Mike Sonko New Lister Feb 2, 2020 #3 Aviator said: Hii tuliona lini wadau? Click to expand... sawa mzito wacha wenye hawajaona waone
bollingo Lister Feb 3, 2020 #4 cx w, ni mpya bana. kwani ni drunk draiffin, rekless driffin or ni bahati mbaya?
zapp_brannigan I am not a Futurama fan . Feb 3, 2020 #5 Provided ako hai , atahustle and buy another one. Lesson 1