Hapa dynasties wakishikana, wacha nitupie Ruto kura.

Relic Hunter

Elder Lister
Ayayaya, niliitwa nikufanyishe orienteshen mtu akanipigia simu nikasahau.

Munene, karibu sana katika kijiji hili, lakini kwa vile ulipitia katika lile kijiji kingine, naomba kwa moyo mkunjufu ujitakase kwa sabuni hii yenye upako ya ukombozi...

View attachment 38247

kisha, jitumbukize hapa na wenzako ili uweze kupokea ubatizo. Ukiwa mle ndani, usisahau kusugua kati kati ya kinyambis na vidole vya miguu. Hatutaki chawa za kule



View attachment 38248
Hehehehhe sande Sana mdau
 
Top