I would campaign for her and vote for her, she is 100times better than the current big shotsmbona tusipatie Martha Karia hii kiti?
Wacha tuone if she appeals to the masses. Ikikaa sure bet nitawekelea.mbona tusipatie Martha Karia hii kiti?
Crocodile tears
Ama ulimaanisha the other options he is mentioning?
huyo ni sure bet. I'm yet to hear a scandal with her name in it. she just miscalculated big time in 2013, sasa angekua 2nd time governor then transition to pork.Wacha tuone if she appeals to the masses. Ikikaa sure bet nitawekelea.
Kwanza hapa ndio Kivutha aliniangusha. Aliikana kisha akaanza kuipigia debe.
Ruto is guilty of the same thingalafu wakati iliangishwa by the courts ndio anatokea kwa msitu kuikana tena
what do you mean? I recall Ruto saying some parts were good and other bad, so we should have a multiquestion referendum.....he basically called out their bullshitRuto is guilty of the same thing
Hehehehhe sande Sana mdauAyayaya, niliitwa nikufanyishe orienteshen mtu akanipigia simu nikasahau.
Munene, karibu sana katika kijiji hili, lakini kwa vile ulipitia katika lile kijiji kingine, naomba kwa moyo mkunjufu ujitakase kwa sabuni hii yenye upako ya ukombozi...
View attachment 38247
kisha, jitumbukize hapa na wenzako ili uweze kupokea ubatizo. Ukiwa mle ndani, usisahau kusugua kati kati ya kinyambis na vidole vya miguu. Hatutaki chawa za kule
View attachment 38248
Leta list ya alternatives@JazzMan ,@mzeiya & @The.Black.Templar , hii mambo ya BBI ilikua do or die for many a politicians excluding diehard "hustler nation"adherents. Again huyo mjamaa wa Sugoi hawezi kuwa solution at all, tutakua tumeruka mkojo tukanyage
Ngoja 2022 July ifike, by then kutakua na surprise coalitions.Leta list ya alternatives