Bwanaa. hizi emoji zote bila ya green ni umeffiMimi si mtu emojis. Lakini kuna kale ka emoji ketu ka green kametoa meno za @Meria akiwa jaba. Sijakaona. Kako wapi vile
Mimi si mtu emojis. Lakini kuna kale ka emoji ketu ka green kametoa meno za @Meria akiwa jaba. Sijakaona. Kako wapi vile