Cabaye Captain
Elder Lister
Mlikuwa wapi hizi enzi, drop your pics
Shiet 74 ata mamangu hakua amepata na mzaee
Matha alikua galdem wa lower PrimaryShiet 74 ata mamangu hakua amepata na mzaee
Acha kuanika records za wazazi
Who tells you ni za wazazi...Acha kuanika records za wazazi
Hiyo lazima ya mhindi. Sofa 500 wueh. It could have built a semi-permanent house 1975.