First Hekaya Kenyanlist.....

DESTRO

Lister
Wadau hope mko poa....
I remember time nilikuwa naishi kitengela nilipatana na yengs ya Ku.We used to talk alot,Tunasex chat na kuongea kwa simu daily.
Siku moja tukapanga tukameet hapo railways and bought her lunch.Ikaaa kama tunajuana na yeye kabisaaa.
So we organised a match na ikakuwa itaanza away so mimi ilikuwa nianze Ku away before we organise a homeground one(kitengela)
Io sato nikaamka mapema nikachapia maboyz mipango za io siku na wakaniwish luck.
Masaa nane nikaoga nikavaa poa.Mimi huyu hadi stage nikachukua rembo shuttle hadi tao.Nikachapia yengs niko on the way akasema ako ready kiwanja iko prepared,weather iko poa lazima katambeee...
Nikafika tao nikakula lunch na nikabuy condoms.
Mimi huyo hadi Lopha travellers nikijua in the shortest time nitakuwa naland.
Kufika Githuu nikatext girlchild niko karibu kufika.Niliona tu text...."GOD I THOT YOU WERE KIDDING"
Sikuamini.I called her akasema ako ocha....Nilishukia tu hapo.Nikadrop cd zangu chini ya kiti.I hated everyone niliona akismile kwa njia.Never seen such a long return journey.
Kufika tao ilibidiiii nimetulia tu uko juu nikifika mtaa mapema nitakuwa na a very long stori kuexplainia majamaaa away match imebounce..
I learnt my lesson,Kam game haianzii homeground sicheziii
 
Last edited:
Top