Face Mwaks!

Mishale

Elder Lister
hapa inakuanga tu ni u hope wakianza kazi wata learn na wakue poa.
but vile watu wanateta kuhusu work force-nurses, doctors,engineers, secretaries......, inaonekana wanaiba, wanapita alafu uko nje hawajui kitu yeyote. ni guess work tu.

kuna pahali watu walkua wana discuss wakisema hawawezi hudumiwa na mtu yeyote mdog. hawajui kitu na watahatarish amaisha yako. sanasana kwa medical field
 
Top