Bwana they look like they have a life of their own.Without the video, huyo jamaa angeambia watu hiyo story wangesema hizo ni effects za jaba
na zimewatafuta mbayaJamaa anaongea ki-spanish in SA? Zingeruka hizo Lane dividers ingekuwa death to the guys in the small vehicles.
Divider imeokoa maisha hapo.
I noticed that too alafu nduthi amepark hapo tu. Niko sure alifikiria anaona ghost akiwa amekaza kunyiHuyo jamaa wa nduthi (minute 1.16) @Introvert anapupu kando ya barabara?
HakiWithout the video, huyo jamaa angeambia watu hiyo story wangesema hizo ni effects za jaba
@Introvert hawezi thubutu hiyo tena. Muulize ile story ya SPLA .Huyo jamaa wa nduthi (minute 1.16) @Introvert anapupu kando ya barabara?