Date with a sponsor

Asher

New Lister
DATE na SPONSER
So jioni nikiwa kwa hao nawatch kipindi flani ya wahindi kwa Switch Tv nikaona text. Wa Tony akaniuliza kama niko free nikamsho yeah but naenda kuwatch ball. Akaniuliza wapi nikamsho club flani inaitwa TEXAS iko apo Kiamumbi stage. Ni club kubwa coz inakuanga na floor sigisteen.
Wa Tony akanisho haina haja niende Texas na akona DSTV kwa nyumba. Offcoss kwa hao ball haiezi bamba so nikamsho Mi nitaenda Texas. Akanibeg ikabidi nimekubali but on a condition; Twende Texas tukunywe moja mbili. Akakubali. Akanisho anakam kunipik after 10 minutes. Mm nikaingia bafu faster faster kupiga ka passpot coz kulikua kunataka kunyesha na mm kama boychild siwezi oga mara mbili kwa siku maybe kama nimeanguka kwa sewege na mwili mzima. After kumaliza wa Tony akanitext akansho ako kwa gate. Nikafunga hao kisha nikatoka. Kuingia kwa Harrier karibu niwe kipofu. Waaah, alikua amevaa ka mini kanachezea juu ya magoti. Mara hio hio HIS HIGHNESS, THE HOLY ROD(mjulus) ikasimama. Nikajaribu kuibeg icheze chini but ikakataa. Ilibidi nimetoa Jacket nikaifunika. Akaniuliza ni nini nikamsho hakuna. Akagurumisha Harrier tukatoka.
Kufika Texas tukapark kisha tukapitia place ya Nyama Choma akaitisha kilo na akasema tuekewe ile kachumbari ya Ovacado. Yani apa nilikua natreatiwa kama Prince. Tukapanda juu kisha tukaingia VIP. Bartender akakam akaitisha order. Mm nikasusia kuitisha but wa Tony akansho nisiogope bill ni yake.
So mm nikaitisha ka mzinga ya Jameson na yeye akaitisha Cider mbili, maji na Coke.
Ilikua around saa tano na Texas ilikua ishajaa mostly na ma haters wa Man U. After few minutes Wa Tony alikua ashaboeka so alikua anansho tuende home(kwake). Mm nikamsho angoje 1st half iishe ndo twende na nikamuekea ka Jameson glass moja. Waaah, acha fombee ibebe wa Tony, alikua anataka tu kudance. Na vile alikua mnono aki.1st half kuisha Dj ndo uyo akacheza Tetema by Ben Githae. Wah, acha wa Tony abambike. Akaamka akani..next part loading. Wacha nichote maji before ipote
 
Top