County 001

Kender9

Elder Lister
Wadau na wadauress, nimeland county kwa aspiring governor Former Marehemu Sonko Kivanguli, nani ako area nimnunulie kakitu hapa Zero 4, we Maria sorry @Meria kama hutapata miji9 tidies, kaa huko kwa Mangwe kwenye umezoea. BTW nimeona Ospreys kadhaa MIA, kwani msito yupi ako around?
 
Meria

Elder Lister
Staff member
Wadau na wadauress, nimeland county kwa aspiring governor Former Marehemu Sonko Kivanguli, nani ako area nimnunulie kakitu hapa Zero 4, we Maria sorry @Meria kama hutapata miji9 tidies, kaa huko kwa Mangwe kwenye umezoea. BTW nimeona Ospreys kadhaa MIA, kwani msito yupi ako around?
Ukifika Vescon Bamburi upige simu
 
Top