Chinku Defence Forces

Makhalanganga

Elder Lister
Ni sio hao makurutu hufunzwa mechanical engineering,mbona wasi maintain hizo machines zao?
Unafikiria kwa gava shock ikichapa ama bulb ichomeke msee anakimbilia kirinyaga road? Ushawahi sikia kitu inaitwa requisition, LPO, LSO na kadhalika?
I was once assigned a govt vehicle but ikafika time maintenance nilikuwa najifanyia. The only plus was the fuel allowance I was enjoying. Kitu simple kama kuchange oil unapata watu wamejipanga sijui wangapi eti approval yao kwanza ipatikane.
 
Introvert

Kweli.
I did some work on gava bikes for a while.
The arrangement was that I be shielded from their red tape so work can get done. The driver used to come with cash.
 
Top