built to last

stanmwa

Senior Lister
Copied

Hizi gari sidhani kuna siku zitawai isha juu zmeishi kufanyiwa modification daily usiku na mchana. Remember original engine ya hizi HTR ilikuwa 6bd1 5785cc 130hp. Kuna zile zingine zlitokea before hizi HTR zinaitwa TX. Kwa lugha ya mtaani haswaa kwa wasapere hizo TX zinaitwa Kigogo. HTR wanaziita ndaî. Meaning ya Ndaî ni direct injection. Hizo TX ama ukipenda Kîgogo zlikuwa na engine inaitwa DA120 5654cc 110hp na ilikuwa sumbua sana juu ni ya kuchomwa. Wale wanaelewa hiyo engine watakuambia idling yake kwa umbali ilikuwa ina sound kama Skenia.
Nowadays hizi TX na HTR ni vigumu sana kuzipata na original engine. Hiyo DA120 na 6bd1 ni outdated for now na spare zliisha. Na juu ya hayo ndio maana zimesundwa 6bg1. Hiyo 6bg1 huwa ya ftr12, fvm12 au frr12 na huwa na mgurumo moja tamu sana. Ukitaka kuskia mgurumo tamu wa 6bg1 weka silencer yenye haina matumbo na utapenda. Wengi wameeka mtungi wa fire extinguisher kama silencer ndio itoe hako ka mgurumo. Kuna zingine pia zimesundwa 6hh1 ya fsr33. By the way kuna moja ya Githurai na ingine ya Kagio najua imeekwa engine, gearbox na diff ya fsr33. Wacha sasa Engine, kunazo ziko hadi na Power steering. Kuna moja huwa na crane ya Sagana iko na hiyo power steering. Yani unaikata na kidole ka imesimama. Tuachane na Engine na steering, kuna wengine nao wame modify zao upande wa brake system na kueka za hewa. Kuna moja najua sana ya maili sita Nakuru imeekwa breki ya fuso. Compressor nayo imeekwa ya ftr12
 
kasuku

New Lister

Nikiwa mdogo mzazi alikuwa na moja 1987 hapo....learnt how to drive in this wonderful truck. Body ya mbao, loading capacity then 10tonnes. Garage tulikuwa tunakuja Nairobi california kwa a then famous Kariuki Aka Calipso...he used to repair all Riakanau buses and later Secret admirer za loitoktok.
 
Last edited:
K

Ktalk is Kaput

Guest
Nikiwa mdogo mzazi alikuwa na moja 1987 hapo....learnt how to drive in this wonderful truck. Body ya mbao, loading capacity then 10tonnes. Garage tulikuwa tunakuja Nairobi california kwa a then famous Kariuki....he used to repair all Riakanau buses and later Secret admirer za loitoktok.
You must be at least 50
 
Top