Breaking news- It's official. Petrol now to be hiked by 80.

Ngimanene na Muchere

Elder Lister
Hii haitakubalishwa kwa expressway.
Hao watu si wameharibu njia ya masufferer, nilipitia hapo University Way roundabout weekend kumejaa maria chafu sana and they don't care. Na gari ilikuwa imetoka car wash :( is this acceptable huko juu barabara ya mabwenyenye? Ama maskini huku chini anaminjirwo maria kutoka juu
 
Top