Big Land Owner Soon Joining the Dynasties

Magreb

Elder Lister
Siku hizi ni kama wanaogopa kupata diabetes. Ni watoto tu ndio wamekuwa wakikata moja moja occasionally.
Kuna watoto hukula miwa unaweza fikiria no crusher ya sukari. Usipoweka jamaa wa kuchunga siku ya kukata utapata field kubwa katikati ya shamba.
 
Top