JazzMan Elder Lister Mar 8, 2022 #2 Ahsante, nimepata kitu ya kuona nikifika man cave. Nimeanza kuona Suits juzi na kumbe I was missing heavily. Nitaongeza Breaking Bad na Better Call Saul
Ahsante, nimepata kitu ya kuona nikifika man cave. Nimeanza kuona Suits juzi na kumbe I was missing heavily. Nitaongeza Breaking Bad na Better Call Saul