Am Getting too old for this($€!?)

Kender9

Elder Lister
Just when I thought nimezoea and I know they aint loyal, last weekend nikasema nipeleke kengine from town mpaka kwao mashinani a distance of about 45kms, nikijiambia vile nawapeleka na siz yake n naenda kwao, she ain't so much into slaying. Mimi huyo nikapiga gari kiberiti mpaka kwao, nikawadrop hapo kwa gate but nikasema sitaingia(though the invitation wasn't very sincere). Nikasalimia Mama yao who happened kua wa ile dini ya kuita mtu Muisraeli(Kalasinga Weusi). Hata nikacheka kimoyomoyo nikisema huyu Marion lazima in her early days before townlife got her alikua anavaa hio turban. Kumbe joke would be on me, so wakateremka kuingia homestead. And nikaambiwa ningoje kiasi she comes to see me off. Kidogo kidogo call of nature kicks in nikasema wacha nisimame kwa kalialia fence adjacent na kwao. Kumbe hao yao iko hapo chini, nikaskia wakiongea na neighbor akaulizwa " Naa Marioni nimeona umekuja na mtu hata mmevaa tshirt karibu matching"(I later noticed we were clad in red t-shirts ziko na label ya canada), to which she replied "Ai weee WaMaria unanibeba aje, huyo ni mtu wangu wa Wasili" (digital Cab services). Wamaria(neighbor) nae akajibu "hee na anakaa musuri na mimi nilidhani wasili ni tudogo". Kuskia hio mkojo ilikatika there there. Nikarudi kwa gari nikatulia, the lass came back na udelilah wake, she saw me with zile za "thanks so much babe, si utanikamia kesho, we will appreciate" mimi nikakubali tu but seething inwardly. Hata thao nilikua niache nikasema acha nikatoe nayo machungu.
Kikopey niliteremka mbio zile zimekatazwa, the following day napigiwa simu ati babe unacome kutuchukua? Nikasema tu nipee like 40minutes then unicall cos I will be driving, after like 30 minutes nikadivert simu kwa number ya "Umash". Later on kunipigia nikamuuliza tu yaani uliona tu uniite mzee wa wasili?! Gharamia kiburi yako.

I am tired.
 
upepo

Elder Lister
Nyinyi ndio mnapatia wanawake kiburi mkiwa na kale kamjamaa ka Lang'ata. Unampeleka kwao kama nani na kwa nini? Does she deserve any of that treatment? Definitely not! Huyo ni mtu hajawai kukufanyia chochote isipokuwa kukuletea gharama. The next man in line will suffer because of the expectations you created. And the woman will also suffer in future when her unrealistic expectations are not met.
Poleni elders sikufaa kuchangia katika huu mjadala lakini imebidi.
 
Watu wengine judgemental wangekua kamati ya roho... ama wacha tu.
We gentleman say "Tender wema nenda zako" but the hood in you hiwes kukubali uelewe hii.
 
Top