Abandoned

Johny walker

Senior Lister
Fascinating...
Could you share some pics about them, or their location please?
Ubaya niko tao.Kuna mama mwingine alikua na mabati rentals besides her main house.Hakuna mtu alikua anamaliza 2 months hapo.watoi wake walishahepa kitambo.Ile duru huyo mama alikua anapiga usiku bana.Na masauti za glasses na masahani zikianguka.The last time i saw her ni hapo stage ya limuru khoja clad in white akitishia watu ati gari haitapita sijui wapi kama haijapata accident.My aunt once lived there alikua ananisho huwanga zina mdryfry.Dont know how true that is
 
Aviator

Elder Lister

Hekaya
 
Wegrow

Elder Lister
Kuna nyumba nilikuwa naishi, siku moja nikajipata na jaribu kusonga kwa bed nikaskia Kuna block soft sana, nikaskuma nikaskia mtu ananishow nisimskume, nikaamka mbio kuwasha stima nikaona Hakuna mtu so kulala tena. Keshoye nikahama.
Afterwards kuulizia nikaskia during tribal clashes za 1997 after watu kufurishwa kwa mashamba yao Wali ingia kwa hiyo nyumba kama haijamalizwa kujenga (2 floors) landlord alikuja akawafukuza violently wakaplead hawana pakuenda arudi after 2 months or so yeye akakataa. Alitafuta ang wakafukuzwa Na Kuna wenye walikuwa wagonjwa wakam curse.
Kidogo tu nikaskia msee akiniambia yangu ni kionjo ulikuwa unaenda choo usiku unapata watu wakifa nguo usiku.

*don't believe everything you hear
*accept Jesus as your personal saviour
*stop fornication and committing adultery
*stop treating this disease normally it will treat you abnormally
*Abba wacha visieno
 
Last edited:

Ice_Cube

Elder Lister
Kuna nyumba nilikuwa naishi, siku moja nikajipata na jaribu kusonga kwa bed nikaskia Kuna block soft sana, nikaskuma nikaskia mtu ananishow nisimskume, nikaamka mbio kuwasha stima nikaona Hakuna mtu si kulala tena. Keshoye nikahama.
Afterwards kulizia nikaskia during tribal clashes za 1997 after watu kufurishwa kwa mashamba yao Wali ingia kwa hiyo nyumba kama haijamalizwa kujengwa(2 floors) landlord alikuja akawafukuza violently wakaplead hawana pa kuenda aje after 2 months or so yeye akakata a. Alitafuta hang wakafukuzwa Na Kuna wenye walikuwa.
Kidogo tu nikaskia msee akiniambia yangu ni kionjo ulikuwa unaenda choo usiku unapata watu wakifa nguo usiku.

*don't believe everything you hear
*accept Jesus as your personal saviour
*stop fornication and committing adultery
*stop treating this disease normally it will treat you abnormally
*Abba wacha visieno
:D :D we had such tales during my time in boarding primary school. The rumor was that the dormitories had been built on Missionaries' burial grounds (There was an old missionary cemetery a few hundred meters away from the hostels in a forested area, we used to go roam around it during the weekends). However most of the rumor mongers were some students that came from Tanzania. Never got to experience or witness the tales first hand. The tales ranged from a midget running around the compost pit area dancing about to cats cleaning up the junior students' hostels while they slept.
 
The.Black.Templar

Elder Lister
Staff member
Leo ni story za giants and other tales, eeeeeh? Kwani mmekunywa pombe imewekwa mkojo ya punda?
Hizi vitu ni za ukweli, kuna alikuwa anasema that he witnessed kuna watu hupika chakula wanaweka kwa nyumba zao on the floor na hafungi mlango wa nyumba. Usiku aliona chatu ameingia kwa nyumba akakula chakula alafu akaenda kwa bedroom, opened a drawer na ikatapika pesa ikajaa kwa drawer. (I cannot authenticate this lakini) there are people who have sacrificed family for money, wako na nyumba kadhaa that nobody lives in.
 
Top