Ukienda kuonyeshwa plot ;
When you're being taken to view the plot by the broker..
These are the stories you will hear.
1. ~ Hiyo town tumepita itafika mpaka huku siku moja.....
2. ~ hii barabara iko earmarked for Tarmac.....
3. ~ Stima imebakisha posts kidogo ifike hapa.....
4. ~ Huku security iko juu sana.....kuna police post inajengwa hapa chini....
5. ~ Title zetu zote ni clean.....
6. ~ Huku maji ni 24/7.....
7. ~ Hakuna floods huku kukinyesha....
8. ~ Hii ni gated estate, hakuna high-rise buildings utaona huku.....
9. ~ Hii ni bei ya discount.....
10. ~ Ata MP amepiga simu ako na interest.
11. ~ Pale Chini ndiyo bypass..
12.~University ina jengwo pale Chini hivi karibuni.
13.~Bro ya Ruto ame nunua pale chini...
14~. Kuna mall kubwa Sana inajengwa....inangoja approval.
15.~2 years ago nikianza hii kazi, plot tulikua tunauza 50k , You can imagine how fast this area is growing..
16.~"Unadeal na mwenyewe direct huyo nimekupea namba yake sio broker"
17.~Ata ni vile roho yangu imekupenda hii plot imeulizwa na watu kumi nkaamua nkupatie wewe ukae...cirathii muno..
18.~Serikali imenunua acre 50 pale Kwa corner Na material za kujenga Airport zinamwago from next week...
19.~Hii side opposite hiyo shamba ni ya Jimi kibaki ana Njenga hotel na golf field..
20.~Hapo time pita Kwa corner upande wa left Ní governor, na arenda gwaka mucii munene muno hau,uguo fara, Maí, rami ciroka o haku njaa.
21.~
22.~
With due respect to Genuine land brokers and agents.
And btw, some of these quotes do materialize although 70% is marketing gimmicks.
Choose your land realtor wisely.
Good luck!