Walevi wakikaribia makwao wanajifanya kusahau njia. In reality ni uoga ya ku-confront bibi after makali imeshuka.Kupeleka waevi nyumbani kwao (designated driver)
Hiyo rahisi gunia kubwa si ni 50 kg na kama ingekuwa Cereals 90 kg?Kufanya kazi kenya seed ya kubeba mbegu ya mahindi na kuweka in stacks .