Lakini @Meria kabla ya hii matuhuhu yoooooooooooooote si ungekuwa unatuambia hawa D- wamevaa red, blue, white ni wa wapi na kwa nini, hao wa white kwa nini wako na kofokofo kwa hii jua yooooote. Hizo rim za baiskeli wameweka kwa hio keria ya sanduku zinabeba kilo ngapi juu haikosi hio ni kilo...