Mwalimu-G
Elder Lister
Bwana asifiwe, Sunday 17/10 kuanzia 8.00am ni ibada kuu kuachilia ROHO ya kuponya na kuzuilia magonjwa sugu kama vile Diabetes, Anthritis, Asthma, Saratani, Ukimwi, Kifafa, Mental palsy na mengineyo katika maisha yako na vizazi vyako, nikamuona malaika wa uponyaji na ukombozi aliyeachiliwa kanisani, hakuna atakayeingia na moja ya haya magonjwa na mengineyo atatoka nayo.Wachawi, waganga na maadui zako watahaibika.Pia nitakupa kitambaa cha kinabii ishara ya uponyaji.Jitolee sadaka yako usimame na kipindi sh.100.USIKOSE!!!Call/Sms/Mpesa 0715917995.Tuko Musa Hse 2nd Floor OTC Nairobi.Prophet David Maina.