bigDog
Elder Lister
Masaibu ya uncle Jethro,. Ebu imagine he is one of your more learned uncle's (Auditor) alafu mnenda mahali Kwa function. Jamaa as usual anapatiwa muda asalimie watu:wacha kutuangusha brathe
Jethro: (in Jipakash accent) ... Mimi siwes kunyua hydroxyl. Patia mimi placebo, inafanya Kasi visuri Sana saidi. Uku-guu-gu utaona Mimi nasema kweli. Iko kwa guu-gu!