There is a guy who drives around the bypasses and thika road in a nissan GTR, that must be one frustrated man feeling like a caged catKulinyesha kiasi kukaaacha. Yeah inafika mwisho ni matope tu saa hii.

I wonder kama ngong hills ziko nairobi
There is a guy who drives around the bypasses and thika road in a nissan GTR, that must be one frustrated man feeling like a caged catKulinyesha kiasi kukaaacha. Yeah inafika mwisho ni matope tu saa hii.
There is a guy who drives around the bypasses and thika road in a nissan GTR, that must be one frustrated man feeling like a caged cat
I wonder kama ngong hills ziko nairobi
Naona ulikuwa Outvest Lounge leo ama ni picha ya hindernet.Ulipata kitu kweli?
View attachment 11819
Ukipanga hii maneno please let me know .Join cheki maneno bana...watu wakicooperate tunaweza organise ya hii kijiji! After corona ikiisha lakini
2005 nilikuwa naishi kwa single room,3rd floor kwa hiyo nyumba ya Thuku , Safaricom House . Nyumba imejaa maji basement sijui kama waliempty ,but that's what I could afford .Impure one pitia Manyara Kirigiti tukule marinated skinned pork
Siletangi picha ya internt mimiNaona ulikuwa Outvest Lounge leo ama ni picha ya hindernet.
IUlipata kitu kweli?
View attachment 11819
The whole area is swampy not fit for those high rise buildings lakini Kanju ni nani2005 nilikuwa naishi kwa single room,3rd floor kwa hiyo nyumba ya Thuku , Safaricom House . Nyumba imejaa maji basement sijui kama waliempty ,but that's what I could afford .
View attachment 11820