GoK quarantine dorms

How many
Niliona walevi wa Nairobi wameanza kuletwa KMTC. They told us after testing us we need to go home since there are more guys out there who wants to use this facility.
How many days more bro?
Wajinga wa Nairobi achana nao they are spoilt kids who think it is an adventure.
 
boss, wale hawana mizigo.
huyu alikuaametokamajuu na ako na bags kaa nne hivi with his wordly possesions, unataka ahepe aziache, kaa s io hizo bags angekua inner Subukia saa hii.
hahaha, lakini nimeona clip watu wakihepa na bags zao, but kutoka majuu lazima akuwe na expensive gifts za watu, no need to risk those.
 
Back
Top