Kenyan Hip Hop Heads
New Lister
Stevo Simple Boy aka mzee wa matulinga alikua na mshike shike hapa na kule lakini kwa upande huu wa ndoa ndiyo imeleta balaa sana. Tunavyojua, he was married to Grace Atieno and had only one child. Mambo haikumwendea poa na akaondokea hiyo ndoa. You wanna know why? Acha niku-plug.
Stevo Simple Boy, born Stephen Otieno Adera, is a Kenyan rapper raised in Kibera. Stevo first introduced Grace Atieno during his father's funeral as his wife. Hiyo ndiyo ilikua first time kuintroduce Grace publicly. In late 2023, reports emerged indicating challenges in their relationship. Stevo accused Grace of infidelity, claiming that alipata ball ya mwanaume mwingine.
Watu bado wanauliza, mbona Stevo ako sure hivyo eti huyo si mkidi wake. Stevo aliconfirm na kudai aje, alikua ameachana na Grace after kuzika budake hyo 2023. Wakaenda separate ways. After sometimes, Grace akarudi akiwa na ball. Ogopa. He tried to fetch the truth from her but hakusema kitu, though alikubali makosa imefanyika. Ati unauliza makosa gani? Of course kucome na ball. Sa itakua imetoka wapi?
Walikaa naye hiyo time yote hadi March 2024. Kufikia hapo, African Dragon, Stevo, called it quits and announced they have parted ways due to the infidelity. Imagine even after kupart ways, Stevo alisema hana machungu naye na anamheshimu na amemsamehe. Kumbe Stevo hua msimple sana. Ingekua ni mimi ningekua nimepiga nduru moja safi sana nakuisindi na matusi kilo thate fae!!!
Kwa hii time yote hajupea Grace microphone, atuchapie za kwake. Haiya basi, Grace, ndiyo hii mic.
"Kenye tu naeza mwambia Stevo kwanza, awache kuskiza story za watu. Akue ananisupport pia, juu hakuna anything yenye ananisaidia.." Grace told SPM Buzz on an interview.
Tunampea mic na anacry for help. Let's hear more from her to get her side of the story.
"Tulikua tu sawa na Stevo na hata ile time nilikua hospitali kujifungua, ni yeye ndiyo alikuja hosipitali akashughulikia kila kitu, tukakua tu sawa." She said.
Grace alibanja kua, Stevo hua ana maarif humcontrol kwa kila kitu hadi decision anamek. Kuna wakati hapo nyuma Stevo alipigiwa simu na watu wasiojulikana na wakamwambia huyo mtoto analea siyo wake. Grace hakuulizwa hiyo story ilikuaje. Leo anaongelea hii story akidai Stevo huskiza watu wengi sana kitu hafai kufanya juu yeye anajua mtoi ni wake. The street always say, mokoro ndiyo hujua nani ndiyo buda wa mtoi.
Grace Atieno said Stevo alikua naye akijifungua hadi akamsaidia kule ndani. Akiendelea na interview, anasema Stevo alikua Mombasa yeye akijifungua na alimpigia simu kumsho ameskia huyo mtoi siyo wake. Wakuu, kumechemkaa.
"Hiyo time alikua Mombasa nikijifungua, akanipigia simu akaniambia story ameskia eti huyu mtoto si wangu. Nikamwuliza nani amemwambia hiyo story, juu tumekaa na wewe hizo siku zote na hujawai niambia hiyo story akaniambia ni mtu wa familia." Grace Atieno narrated to Caro, SPM Buzz.
King wa matulinga alikua akisuspect hiyo pregnancy but hakuwai chapia Grace how he felt. Grace akiulizwa kama Stevo amewai mshuku, amesema ni kweli kwa sababu alikua akitoka kuenda kwao Taveta, Stevo alikua anamshuku sana. Hadi kuna muda aliongea na wazazi wake Grace alipokua huko Taveta, waeze kupanga jinsi wazazi wote, wa Stevo na wake Grace, watakavyokutana kusuluhisha mambo. Hii ilikua kabla ajifungue.
Baada ya kujifungua, Grace hakurudi kwa Stevo coz alikua hashiki simu zake. Ilibidi aende kukaa na aunty wake Kibra ilhali walikua wakiishi na Stevo Buru. Stevo bado anaendelea na show Mombasa. Alikaa huko Kibra for seven months ndiyo akarudi kwa Stevo. Alipata mzee wa matulinga anaishi na msanii wake so hawakuwai elewana, kila siku ilikua virugu tu. Akaamua kurudi kibra. Alikaa kibra hadi December kisha akarudi kwa Stevo tena.
"Nilirudi tena December nikakaa kaa hivi, but unajua Stevo, sijui hata niseme aje, Stevo ni mtu hawezi saidika." She told Caro.
She added that, amekaa na Stevo hadi hii January. Stevo hakua anamsaidia kila siku. Wakati mwingine alikua anapigia aunty wake amsaidie. Ikafika point aunty wake akamsho arudi Kibra wakae tu nae huko. Hiyo ndiyo ilikua mara ya mwisho kuishi na Stevo Simple Boy. Grace insisted that Stevo alikubali mtoi ni wake infront of her and his brother. Caro, SPM Buzz asked Grace kama ashawai kaa na familia ya Stevo na kuongelea hii story yote.
"Tulikua huko December na familia yao yote, hadi nikaongea na mama yake kwa simu. So tulikaa kama familia tukaongea hiyo story Stevo akasema yeye hana shida tunaezarudi tukakaa. Tuliongea na familia yao yote hadi wako na mtoto." Grace Atieno replied.
"Sahii hukai na Stevo unakaa na aunty yako, nini ilifanyika ukarudi kwa aunty yako na mtoto? Caro asked.
"Kitu ilifanyika siyo eti niliklsana na Stevo. Acha niseme hajawai nikosea. Mtu alifanya nikatoka hapo, ni huyo mtu ako na yeye. Huyo Machabe. Machabe ni ule mtu anakuongelesha vile anataka, ukimwambia kitu hakusaidii" Grace replied.
She continued saying that since atoke huko, imepota wiki mbili since aongee na Stevo. Kwanza ni Stevo alimpigia akimshow arudi kejani waongee. She asked Stevo arudi aje na vile mambo iko huko kejani, Stevo akamsho mambo itakua sawa. She refused because Stevo husema mambo itakua tu sawa na haijawai kua sawa.
Caro from SPM Buzz decides to call Stevo Simple boy live. Alipiga simu ya Stevo but hakushika. Akapiga kwa simu ya Machabe, ikachukuliwa. Stevo alipewa simu na akadai hachukuagi new numbers. Carol alimshow ako na Grace na wanafaa wameet waongee. But Stevo said ako busy at the moment na akakata call. Grace anainsist eti, Stevo asiskize story za watu na akue akimsupport yeye na mtoi.
Akiulizwa about the accusation ya kucheat on Stevo, she replies that Simple Boy ameishi akimshuku na story mob but she knows alikua na yeye pekee. She confirms that hajawai kua na mtu mwingine apart from Stevo. Grace leaves a message to Stevo and says that in case he watches this video, akumbuke ni yeye tu ndiye anamjua kiundani kushinda hao wanaoishi naye. That if he gets time, ampigie waongee.
Stevo Simple Boy on the other hand has a message to her ex wife Grace Atieno. He posted a video today to his Tiktok account claiming that since yesterday ameona vitu kwa mtandandao na hajafurahia. It has forced him to speak. Stevo claims that his brother had a sexual relationship with his ex wife Grace. That's why he chased him out of the empire.
"Kakangu na Grace, walikua na uhusiano. Nikamfukuza kwa empire juu hakuna kazi alikua anafanya. Sasa kakangu na Grace wakalipa watu wa media ili watangaze eti mtoto ni wangu. Na Grace mahali upo, unajua mtoto si wangu. Nimekupatia 48 hours, uprove kama mtoto ni wangu. Na mimi niko tayari kuenda DNA. La sivyo, utapata mkono wa sheria na utapata barua kutoka kwa lawyer wangu." Stevo Simple Boy clarified angrily.
What's your opinion?