Young_Turk Elder Lister Feb 7, 2025 #3 Mwalimu-G said: Wacheni hii i-trend jameni! Click to expand... Weh! Mama boga amejam. Watu Bodaboda nao pia hawajafurahi. Na mimi kama mfanyabiashara ndogondogo pia sina raha. SALALEEEEEE!
Mwalimu-G said: Wacheni hii i-trend jameni! Click to expand... Weh! Mama boga amejam. Watu Bodaboda nao pia hawajafurahi. Na mimi kama mfanyabiashara ndogondogo pia sina raha. SALALEEEEEE!
Mwalimu-G Elder Lister Feb 7, 2025 #4 Young_Turk said: Na mimi kama mfanyabiashara ndogondogo pia sina raha. Click to expand... Kwanza nyinyi imesemekana mtafungiwa PIN zote mpaka mlipe Housing Levy.
Young_Turk said: Na mimi kama mfanyabiashara ndogondogo pia sina raha. Click to expand... Kwanza nyinyi imesemekana mtafungiwa PIN zote mpaka mlipe Housing Levy.