Housing Levy Nullified

Hakuna watu huumwa wakikatwa pesa kama government workers. Hata pesa kidogo mtang'ang'ana sana. Watu wa private sector wametualia juu wanajua hata hiyo kazi ni bahati. Unapata government worker ako na gross ya 50K lakini akikatwa mia tatu ni mayowe the whole year utadhani wamekata half the salary.
Private sector wamezoea maisha yalivyo. Mnafanya na mtu level moja lakini salary yake ni double yako, lakini unatuliza juu ya shida.
Zakayo is that you? You are saying it word by word to what he told civil servants, actually most civil servants, have ways and means of getting money. Seen villagers lamenting about bribing people for services that they pay taxes for. Anyway to each their own.
 
Back
Top