Mzee mmoja wa umri wa miaka 42, ambaye pia ni Chifu wa lokesheni ya Ndorio, huko Alda, amejitoa uhai kwa kunywa dawa ya kwekwe aina ya “Round Up.’ Hii ni baada ya kumfumania mkewe wa ndoa akikandwa viungo nyeti na ndume moja ambalo pia in afisaa wa polisi wa AP katika kambi ya Chifu huyo. Baada ya kushuhudia wawili hao wakisuguana nyeti wakiwa uchi wa mnyama katika chumba cha guesti upande wa mji wa Serem, Chifu huyo alishindwa kuvumilia. Hapo ndipo alitoka unyoya na kugurumisha gari lake na kuelekea nyumbani, ambapo alibugia kikombe kilichojaa dawa, ungethani ni pombe ya Keg. Alifariki alipokuwa akipokea matibabu ya dharura katika hospitali moja ya kibinafsi. Kweli dunia imepasuka. Sasa ndume litaendelea kuteleza tunduni la mke wa mwendazake. Ni kweli walivyonena wahenga, kwamba mpenzi ni wa zamu tu.Mwarimo G Chief wenyu amesonga anyway
Kuwa mkarimani hapa
View attachment 89447View attachment 89448
The coasterian officer, was famed for licking the nyaus of the kienyeji Nandi women in Serem, seems like the chiefs wife also decided to also get the thrill of having her's licked, too bad snitches informed Kirwogin.Mzee mmoja wa umri wa miaka 42, ambaye pia ni Chifu wa lokesheni ya Ndorio, huko Alda, amejitoa uhai kwa kunywa dawa ya kwekwe aina ya “Round Up.’ Hii ni baada ya kumfumania mkewe wa ndoa akikandwa viungo nyeti na ndume moja ambalo pia in afisaa wa polisi wa AP katika kambi ya Chifu huyo. Baada ya kushuhudia wawili hao wakisuguana nyeti wakiwa uchi wa mnyama katika chumba cha guesti upande wa mji wa Serem, Chifu huyo alishindwa kuvumilia. Hapo ndipo alitoka unyoya na kugurumisha gari lake na kuelekea nyumbani, ambapo alibugia kikombe kilichojaa dawa, ungethani ni pombe ya Keg. Alifariki alipokuwa akipokea matibabu ya dharura katika hospitali moja ya kibinafsi. Kweli dunia imepasuka. Sasa ndume litaendelea kuteleza tunduni la mke wa mwendazake. Ni kweli walivyonena wahenga, kwamba mpenzi ni wa zamu tu.