URGENT message from the other village !

  • Thread starter Thread starter Mrs. Chantel
  • Start date Start date
M

Mrs. Chantel

Guest
Hamjamboni mandugu na madada. Kwa majina naitwa Chantel ama ukipenda, Mrs. Chantel. Mimi ni mmoja wa watumizi wa kile kijiji kingine ambacho kimeharibiwa na wasenge ambao walikitawala.

Sababu langu la kuja huku kwenyu leo ni moja tu.

Wakenya kadhaa wameangusha vitambulisho vyao na ningeshukuru kama mngenisaidia kuwarejeshea vitambulisho vyao.

Vitambulisho vyenyewe ndivyo hivi hapa chini:

swan.jpg


kush.jpg


obiero.jpg


Ahsanteni na shukran.
 
Back
Top