shocks
Elder Lister
Really, wameongeza kura thao nne since asubuhintv is still tallying,
Really, wameongeza kura thao nne since asubuhintv is still tallying,
either Nakuru has become very cosmopolitan or watu wa huko wamechoka railaOfficial IEBC tally for Gilgil isn't what one would expect
Ruto - 39,225
Raila - 20,997
Ama ni nini sijui? ASTU and NYS maybe?
1 Lieutenant @Cortedivoire alisema bei ni 150/- across border lakini wewe tutaongeza 1 si 151/- iko sawa@Doc oga uta toa how much?
Hawa nikama walinyonga counting ndio wasi upstage IEBC final numbers tungoje kutoka kwa ChebukatiReally, wameongeza kura thao nne since asubuhi
It's a decision from the The Media Council of KenyaHawa nikama walinyonga counting ndio wasi upstage IEBC final numbers tungoje kutoka kwa Chebukati
Hii kazi ya commercial break mupatie rexxsimbaCommercial break View attachment 71918
Wah...I thought wanakuanga na police protection throughout hadi hizi shughuli zkamilike?Chebukati: Embakasi East Returning Officer missing since yesterday![]()
Story gani azimio wameamza sasaBREAKING: Returning officer for Embakasi East one Musyoka excused himself to pick a call at the East African Aviation tallying center yesterday (Thursday) at 9.45 am and that is the last anyone saw him.-Chebukati
Umewahi ona mluhya amejam?Look at those beemy smiles on Weta and Madvd. That is the warmth of state power glowing on their aged faces.
View attachment 71825
Chebukati says the bodyguard escorted him to the tallying center where he began working but excused himself to pick the call outside.Wah...I thought wanakuanga na police protection throughout hadi hizi shughuli zkamilike?
Harufu ni ile ile ya samakiCommercial break View attachment 71918
Wee watu wako acceptance wacha kurudi denial