@Meria mateAta nikitema baba ameshida
Squeaking wako must be smiling
handshake loadingHivi kwamba IEBC are going to do their tabulation inafanya hizi za TV kuwa useless! Kila nikienda kuangalia naona kama time wasting.
saa ya kulipwa tungeambulia patupu juu @QuadroK4000 angehack account ya adnim awekee @Mongrel pesa.
Mbeere North gets a new MP, Geoffrey Kiringa Ruku of DP after garnering 17, 069 votes against the incumbent Muriuki Njagagua of UDA who managed 16, 422 votes.
yUDA wangeringa sana kama wange-sweep. By the way hata ya Mbeere South is doubtful.
Translate please
True that, Bw Senator!
Mwanzo hizo TV zimeshikwa red handed by hawk eyed Internet warriors throwing up wild figures straight out of their asses! Both citizen na ntv are reporting erroneous figures, at least ikiwa vile Nimeona ni kweli.
Stop peddling nonsense...Erroneous figures because yUDA hacked the media houses.
Waambie wadau wako kwamba kama kinaumana, this is the stage. This is the point at which watu hurukwa na akili. Now is the time mtu yuko na gari Lake barabarani kua vigilant!handshake loading
sioni any side ikikubali kushindwa
Such off-the-cuff allegations ndio zinawafanya mkae desperate. How is hacking media numbers going to give UDA the win?Erroneous figures because yUDA hacked the media houses.
Ata nikitema baba ameshida