Guess who landed

Karibu na uliport reception desk , ukaguliwe burungo zote.
images.webp
 
Kuna sukuma kama hii tulipanda na my sister tukiwa primo. Zilikuwa kubwa mpaka agriculture lecturer wa college fulani hapo karibu akakuja kufanya research. Tulikuwa tumezipanda na chicken droppings, rabbit droppings, goat droppings na cow dung. Tuliuza doo mob Sana Hadi nikanunua kiatu ya North-Star yangu ya Kwanza.
 
Back
Top