Kibaki Farewell

commercial break.
FRfweKzXIAED5Jb.png
 
Lakini @Meria kabla ya hii matuhuhu yoooooooooooooote si ungekuwa unatuambia hawa D- wamevaa red, blue, white ni wa wapi na kwa nini, hao wa white kwa nini wako na kofokofo kwa hii jua yooooote. Hizo rim za baiskeli wameweka kwa hio keria ya sanduku zinabeba kilo ngapi juu haikosi hio ni kilo mia mbili na, hio sanduku ni ya pesa ngapi na ilikuwa import ama? Hio suti amezikwo nayo ni ya pesa ngapi kama vile mablogger hufanya 10 things you didn`t kniow about Kibaki funeral, no 9 will shock you
 
MMNN sio Tuko ama Opera wale huweka click bait headline.
 
Jamaa huku kwa boma zimevaa ceremonial wametoa kwa archives na kumwaga machozi. This entire affair is personal for KDF. Kumbe jamaa aliwapea pay rise 110% among other things. Enyewe either I was too young or too ignorant to question why suddenly things could get done around the home.
 
Jamaa huku kwa boma zimevaa ceremonial wametoa kwa archives na kutoa machozi. This entire affair is personal for KDF. Kumbe jamaa aliwapea pay rise 110% among other things.
tell us about hii hearse, niya lee mkaweka number ama ni yenu.
279290571_5174396169247979_3570393705562191624_n.jpg
 
Back
Top