This is Guka - Kimeniumania..............Niambieni Best Way ya Kujitoa...............

Yaani guka aponee kudungwa dungwa hospitalini kwa sababu ya prostate cancer halafu bado ajirudishe kudungwa dungwa ndio apate za White Cap? Hamna huruma?
 
Back
Top