Denis Young
Elder Lister
Hii itakamilika ata before kenol-marua. Walisema kama si assimio tukulange vumbi.
Siasa mbaya maisha mbaya. It should be stopped. Muende muulize hasla na sudi wakuje wamalise.Hii itakamilika ata before kenol-marua. Walisema kama si assimio tukulange vumbi.
Ata wewe ni mtu ya Mazda..Ikibamba sana wapi nduru .... Wueh wueeh wuuuuuueh.
Amefanya kazi buana .
![]()
Hiyo picha ilitoka skyscrapercity . The only Mazda thing i own is a keyring .Ata wewe ni mtu ya Mazda..
Nini hiyo hunuka vibaya around this area btw?Update :
By the look of things u turn za Eastern Bypass will be Ngong road styro .This will work for now .The speed of concrete base laying inaendelea poa now past Corner heading to Nairobi Gate .
The distance with this base layer is approximately 5 km starting from KFC /Shell Kamakis .
Anafanya kazi Buana .
View attachment 58263