New Year Game Day

Jug

Elder Lister
Leo ni ile siku ya kukandamiza nyoka. Early kick off Dynasty @mzeiya, akisaidiwa na @Tiger Bone na @Okiya mark register mnaonea kichapo kutoka kipande gani. Kesho nayo Mwalimu @Mwalimu-G wakiongozwa na Generali @JazzMan watakuwa wakimenyana na Derefa wa Turela @Meria akisaidiwa na ule wa tuktuk @It's Me Scumbag na Kamagera @QuadroK4000. Kwa wale sijataja endeleni kujaza number uko nyuma.

photo_2022-01-01_14-09-34.jpg
 
Back
Top