Meria
Elder Lister
@QuadroK4000 amenikumbusha hii
- Dunga Unuse was originally called "Dunga nusu", a term given by walevi from the chang'aa dens as they demanded to be given kanusu of cham. So mlevi kama @Cortedivoire ataambia mama pima @Deep Sea "dunga nusu"
- Dongo Kundu on the other hand in full is "Udongo Mwekundu"... but trust the coasterians to shorten names in interesting ways.
- Mkanyageni ni la mtaa mmoja eneo la Old Town mjini Mombasa na kwa ufahamu wako pengine utafikiria linamaanisha kukanyaga mtu. jina hili linamaanisha - mtu anayekanya wageni au kitu kigeni, ndio huuitwa mkanya geni
- Toa Tugawe, watakwambia ni mtaa ambao ulikua na wezi wengi kwa hivyo ukitoka safari zako na ukutane nao , baso watakwambia utoe ulicho nacho ili mgawanye.
- Mtongwe ni kivuko kila mmoja anakifahamu sana. hili sio jina moja bali mawili, Mto-Ngwe. Huu ulikua mto mdogo sana [mto] ambao kipimo chake kilikua kikipimika [ngwe].
- Kisauni - majina mawili pia, Visa na uhuni ikakua Kisauni, yaani huu mta umekua na uhuni tangu jadi.
- Siwatu
- Magodoroni
- Kaa chonjo
- Kadzandani
- Mlaleo
- Mafisini
- Sindiriya
- Guraya
- Shika adabu
- Mwembe kuku
- Mwembelegeza
- Mbirikani
- Mnazi mkavu
- Ndenyenye
- Jamvi la wageni
- mtomondoni
- Ziwa La Ng'ombe
- Jaribuni
- Ng'ombeni
- pungu kiziwi