Mkate imepanda bei wadau

Supaloaf wamekuwa undercut na mikate zingine wameamua kurudisha bei iwe 50.

Kwa depot walikuwa wanashukisha 15 crates pekee na haziishi.
 
Back
Top