Mwalimu-G
Elder Lister
Sababu bado anatumia stove ya ndambi na koroboi?Mwanaume ni mwenye hajui bei ya gas
Last edited:
Sababu bado anatumia stove ya ndambi na koroboi?Mwanaume ni mwenye hajui bei ya gas
alaa, kwani unaishi kama ndege?Wengine gas ya 6KG last me for 8-9 months, I only cook breakfast and rarely cook supper.
Naskia wanajiita MGTWO movement......Yaani majamaa ni mongoose lifealaa, kwani unaishi kama ndege?
this morning at Ngata bridge Naks
View attachment 46679
Work station maneno mara mingi I eat out, and every fortnight I visit my family at home, najua wewe na other guys who go back to your wife and kids each evening are surprised by this, but it's just the way a number of us live.alaa, kwani unaishi kama ndege?
Gas hapa Kwa mtaa ni 2300.Ununua wapi gas at 2550 , i tried national oil and its 3000
I guess the prices will correct themselves eventually.Gas hapa Kwa mtaa ni 2300.