Swafiii....tubuild this site.Huku hamna viti....
NisongeweNimefika our new home....Nipewe kiti...
Sande
Uko welcomed pia....ii ndio new home sasa....Nisongewe
In the flesh
HeheJina yako imenikumbusha Dextrosol, the 90's kids' cocaine
Ningependa sana kusema "tusafishe mecho" lakini ni mapema sana anywei don't let me stop youIn the flesh
Nikumbushe on Christmas day, nitawasafishaNingependa sana kusema "tusafishe mecho" lakini ni mapema sana anywei don't let me stop you
PS: Palmera anangoja kwa hamu na aramis!
Mama Walcott ketIn the flesh
Viti nafungua chapter officially saa sabaMama Walcott ketView attachment 16
Daktari Luther aje haraka upesi atuchambulie hizi vidole!Nisongewe
AnakujaDaktari Luther aje haraka upesi atuchambulie hizi vidole!
I shall not be welcomed by a form two, wapi village elders?Mama Walcott ketView attachment 16
He has matters that actually add value to attend toDaktari Luther aje haraka upesi atuchambulie hizi vidole!
Hehehe mimi sio NVI shall not be welcomed by a form two, wapi village elders?