Ngimanene na Muchere
Elder Lister
Inaonekana wameachana na bibi and there's a new vacancy kwa first lady office kabla afunge virago next year. Lakini mtu alisema there will be a F1 track in Machakos ni mtu wa kuaminika kweli?
Is that why he is crying?Hehehe...must be propaganda but if it is true, unaachwa aje kukiwa na hii baridi yote? Pole kwake. Akamate kikombe ya maji moto na duvet kama mimi apambane na baridi.
Inaonekana wameachana na bibi and there's a new vacancy kwa first lady office kabla afunge virago next year. Lakini mtu alisema there will be a F1 track in Machakos ni mtu wa kuaminika kweli?View attachment 41625
Inauma, tena sanaIs that why he is crying?
Hehehe...must be propaganda but if it is true, unaachwa aje kukiwa na hii baridi yote? Pole kwake. Akamate kikombe ya maji moto na duvet kama mimi apambane na baridi.
Brathe ameachwa na akazima comments
Amber Ray anajitayarisha to take over that positionShait! Hizi proverbs za number one fan ni za nini sasa? Ogopa warembo. My fave presidential contender ameachwa tu namna hio.
Brathe ameachwa na akazima comments
Brathe ameachwa na akazima comments
Sasa A&L Hotel itakuwa tu Alfie's Hotel?Tuseme tu everyone saw this day coming. Alirushanisha first wife na madharau, then he kept flaunting the new catch all over social media. Hata hiyo position ya advisor ni upus, mutua is just protecting his money, they've got several companies jointly registered that mutua used to fleece that county.
Ataondoa hiyo & ikuwe AL Hotel.Sasa A&L Hotel itakuwa tu Alfie's Hotel?