The old roads will be redone afresh.I was wondering, is the contractor going to recarpet MBS road and Uhuru highway after the completion of this express way? Is it included in his scope of work?
Na hapo ndo watalazimisha kila mtu kutumia hiyo barabara ya gorofa na walioe wakiitumia.The old roads will be redone afresh.
Jana kweli was Friday 13th!!!II barabara itaonyesha watu mambo, naskia kame shikana kushikana ii masaa. Passed it yesterday what remains a mystery to me is the fact that 4 lanes at the weigh bridge have been converted to a one lane road. Ka unamipango ya kutumia ii barabara baki mahali uko, ukuje asubuhi
Ata Thika Rd kwa hizo places wanajenga BRT stations, karibu daily lazima gari ilime hizo mawe. @Ngimanene na Muchere chunga sana ka Alto kasifanywe chapatiWanaume wanazilima kweli kweli si mchana si usiku
Jana kweli was Friday 13th!!!
Got hapo cabanas at 8pm nimefika home 3.30am hapo athi River!!!
Am wondering juu some places the pillars zimereduce the lanes to 1 from 3 what will happen? Sijawai ona barabara imejengwa na impunity hivyo zero considerations on existing traffic,no diversions and where there are diversion ni shamba hata maji to ease dust hawamwagi!!!
Bure kabisa!!!!!
Ahsanta kwa kunijali, Alto iko na bullbars so I'm safeAta Thika Rd kwa hizo places wanajenga BRT stations, karibu daily lazima gari ilime hizo mawe. @Ngimanene na Muchere chunga sana ka Alto kasifanywe chapati
Pole kwa masaibu... Gavament minister Matiangi pia anafaa kushikwa na hio jam... But they use D- to clear the roads for themJana kweli was Friday 13th!!!
Got hapo cabanas at 8pm nimefika home 3.30am hapo athi River!!!
Am wondering juu some places the pillars zimereduce the lanes to 1 from 3 what will happen? Sijawai ona barabara imejengwa na impunity hivyo zero considerations on existing traffic,no diversions and where there are diversion ni shamba hata maji to ease dust hawamwagi!!!
Bure kabisa!!!!!
Original lanes sioni, so far inakaa itakuwa 2 lane roadIt was very very bad yesterday.
Kitu sielewi is will Mombasa road return back to its original lanes? Kama hapa UON the pillars of that express way are soo huge they have "eaten" one lane both sides
So the bullbars are heavier than the car?Alto iko na bullbars so I'm safe
The fuel you use to take you to Kisaju from Nairobi, inamezwa na jam yakijinga. Somebody should sue Kenha and the contractors.Jana ilikuwa noma so many people parked on the side and slept/ran out of fuel!
The major problem is between Cabanas and Mlolongo. I spent two hours from Sabaki to Cabanas na nilikuwa kwa matatu .Ni Mombasa Road gani mnaongelelea? the Mombasa Road I know haina bugdha